John 3:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yohane akawaambia, “Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yahya akawajibu, “Hakuna mtu yeyote awezaye kupata kitu chochote isipokuwa kile tu alichopewa kutoka mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yohana akajibu, “Mtu anaweza tu kuyapokea yale ambayo Mungu anayatoa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yohane akawaambia, “Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yohane akawaambia, “Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yohana akawajibu, “Hakuna mtu ye yote awezaye kupata kitu cho chote isipokuwa kile tu alichopewa kutoka mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yahya akawajibu, “Hakuna mtu yeyote awezaye kupata kitu chochote isipokuwa kile tu alichopewa kutoka mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lolote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yohane akawaambia, “Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yohana akajibu, akasema: Hakuna, mtu awezacho kukitwaa, asichopewa toka mbinguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoane akawajibu: “Hakuna mutu anayeweza kuwa na kitu isipokuwa amekipewa na Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni.