John 3:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi wenyewe mwaweza kushuhudia kuwa nilisema: ‘Mimi siye Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi wenyewe ni mashahidi wangu kwamba nilisema, ‘Mimi si Al-Masihi, ila nimetumwa nimtangulie.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi wenyewe mlinisikia nikisema, ‘Mimi siye Masihi. Mimi ni mtu yule aliyetumwa na Mungu kutengeneza njia kwa ajili ya Masihi.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nanyi wenyewe mwaweza kushuhudia kuwa nilisema: Mimi siye Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi wenyewe mwaweza kushuhudia kuwa nilisema: ‘Mimi siye Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi wenyewe ni mashahidi wangu kwamba nilisema, ‘Mimi si Kristo, ila nimetumwa nimtangulie.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi wenyewe ni mashahidi wangu kwamba nilisema, ‘Mimi si Al-Masihi, ila nimetumwa nimtangulie.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nilisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi wenyewe mwaweza kushuhudia kuwa nilisema: ‘Mimi siye Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi wenyewe mwanishuhudia, ya kuwa nalisema: Mimi siye Kristo ila nimetumwa, nimtangulie yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi wenyewe ni washuhuda wangu kwamba nilisema: ‘Mimi si Kristo, lakini nimetumwa mbele yake.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake.

Recommended Reading