John 3:32 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye husema yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mtu anayekubali ujumbe wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye hushuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna yeyote anayekubali ushuhuda wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yale aliyoyaona na kuyasikia ndiyo anayoyashuhudia, wala hakuna anayeukubali ushuhuda wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Huyo huyasema aliyoyaona na kuyasikia, lakini watu hawayapokei anayoyasema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye husema yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mtu anayekubali ujumbe wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye husema yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mtu anayekubali ujumbe wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye hushuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna ye yote anayekubali ushuhuda wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye hushuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna yeyote anayekubali ushuhuda wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yale aliyoyaona na kuyasikia ndiyo anayoyashuhudia, wala hakuna anayeukubali ushuhuda wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye husema yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mtu anayekubali ujumbe wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliyoyaona nayo aliyoyasikia, ndiyo, anayoyashuhudia, lakini hakuna anayeupokea ushuhuda wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yale aliyoyaona na kuyasikia ndiyo anayoyashuhudia, wala hakuna anayeukubali ushuhuda wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anashuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mutu anayekubali ushuhuda wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Aliyoyaona na kuyasikia ndiyo anayoshuhudia, wala hapana anaeukubali ushuhuda wake.