John 3:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mtu yeyote anayekubali ujumbe wake anathibitisha kwamba Mungu ni kweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini yeyote anayekubali huo ushuhuda anathibitisha kwamba, Mungu ni kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye aliyeukubali ushuhuda wake ametia muhuri ya kwamba Mungu ni kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Bali yeyote anayepokea anayoyasema basi amethibitisha kwamba Mungu husema kweli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini mtu yeyote anayekubali ujumbe wake anathibitisha kwamba Mungu ni kweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mtu yeyote anayekubali ujumbe wake anathibitisha kwamba Mungu ni kweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ye yote anayekubali huo ushuhuda anathibitisha kwamba, Mungu ni kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini yeyote anayekubali huo ushuhuda anathibitisha kwamba Mwenyezi Mungu ni kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye aliyeukubali ushuhuda wake ametia mhuri ya kwamba Mungu ni kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mtu yeyote anayekubali ujumbe wake anathibitisha kwamba Mungu ni kweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aupokeaye ushuhuda wake huyu anamtambulisha Mungu waziwazi, kuwa ni wa kweli;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye aliyeukubali ushuhuda wake ametia muhuri ya kwamba Mungu ni kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeyote anayekubali ushuhuda wake anahakikisha kama Mungu ni mwenye ukweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Aliyeukubali ushuhuda wake ametia muhuri yake kwamba Mungu ni kweli.