John 3:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usistaajabu kwamba nimekuambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo usishangae ninapokuambia, ‘Huna budi kuzaliwa mara ya pili.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usishangae kwa kuwa nilikuambia, ‘Ni lazima mzaliwe upya.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Usistaajabu kwamba nimekwambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usistaajabu kwamba nimekuambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo usishangae ninapokuambia huna budi ‘kuzaliwa mara ya pili.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo usishangae ninapokuambia huna budi ‘kuzaliwa mara ya pili.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usistaajabu kwamba nimekuambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usistaajabu, nikikuambia: Sharti mzaliwe mara ya pili!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usishangae kwa sababu nimekuambia kwamba sherti ninyi muzaliwe mara ya pili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Usitaajahu kwa kuwa nilikuambia, Hamna buddi kuzaliwa marra ya pili.