John 3:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikodemo akajibu, akamwambia, Yawezaje kuwa mambo haya?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nikodemu akauliza, “Je, haya yote yanawezekana namna gani?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikodemo akajibu, akamwambia, Mambo haya yawezaje kuwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikodemo alipojibu na kumwuliza: Haya yawezekanaje kuwapo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikodemo akajibu, akamwambia, Yawezaje kuwa mambo haya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Nikodemo akamwuliza: “Maneno haya yanawezekana namna gani?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nikodemo akajibu, akamwambia, Yawezaje kuwa haya?