John 4:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafarisayo walisikia kwamba Yesu alikuwa anabatiza na kuwapata wanafunzi wengi kuliko Yohane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa alipata habari kuwa Mafarisayo walisikia kwamba yeye alikuwa akipata wanafunzi kuliko Yahya na kuwabatiza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo Bwana, alipofahamu ya kuwa Mafarisayo wamesikia ya kwamba, Yesu anafanya wanafunzi wengi kuliko Yohana, na kuwabatiza,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akatambua ya kwamba Mafarisayo wamesikia habari kuwa alikuwa anapata wafuasi wengi kuliko Yohana na kuwabatiza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mafarisayo walisikia kwamba Yesu alikuwa anabatiza na kuwapata wanafunzi wengi kuliko Yohane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafarisayo walisikia kwamba Yesu alikuwa anabatiza na kuwapata wanafunzi wengi kuliko Yohane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafarisayo wakasikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mafarisayo wakasikia kwamba Isa alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yahya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo Bwana, alipofahamu ya kuwa Mafarisayo wamesikia ya kwamba, Yesu anafanya wanafunzi wengi kuliko Yohana, na kuwabatiza,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafarisayo walisikia kwamba Yesu alikuwa anabatiza na kuwapata wanafunzi wengi kuliko Yohane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilikuwa hapo, Bwana akitambua, ya kama Mafariseo wamesikia, ya kuwa Yesu anapata wanafunzi wengi, tena ya kuwa anabatiza kumpita Yohana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo Bwana, alipofahamu ya kuwa Mafarisayo wamesikia ya kwamba, Yesu anafanya wanafunzi wengi kuliko Yohana, na kuwabatiza,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akatambua kwamba Wafarisayo wamepata habari kama yeye anapata wanafunzi wengi zaidi kuliko Yoane na kuwabatiza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
BASSI Bwana alipojua ya kuwa Mafarisayo wamesikia kwamba Yesu anafanya wanafunzi wengi kuliko Yohana, na kubatiza,