John 4:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo mwanamke akamwambia, “Bwana, nipe maji hayo ili nisione kiu tena; na, nisije tena mpaka hapa kuteka maji.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mwanamke akamwambia, “Bwana, tafadhali nipe maji hayo ili nisipate kiu tena, wala nisije tena hapa kuteka maji!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, unipe maji hayo, nisione kiu, wala nisije hapa kuteka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwanamke akamwambia Yesu, “Bwana, nipe maji hayo. Kisha sitapata kiu na sitapaswa kuja tena hapa kuchota maji.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyo mwanamke akamwambia, “Mheshimiwa, nipe maji hayo ili nisione kiu tena; nisije tena mpaka hapa kuteka maji.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo mwanamke akamwambia, “Bwana, nipe maji hayo ili nisione kiu tena; na, nisije tena mpaka hapa kuteka maji.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mwanamke akamwambia, “Bwana, tafadhali nipe maji hayo ili nisipate kiu tena na wala nisije tena hapa kuteka maji!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mwanamke akamwambia, “Bwana, tafadhali nipe maji hayo ili nisipate kiu tena na wala nisije tena hapa kuteka maji!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, unipe maji hayo, nisione kiu, wala nisije hapa kuteka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo mwanamke akamwambia, “Bwana, nipe maji hayo ili nisione kiu tena; na, nisije tena mpaka hapa kuteka maji.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mwanamke alipomwambia: Bwana, nipe maji hayo, nisipate kuona kiu tena, wala nisije hapa tena kuchota!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, unipe maji hayo, nisione kiu, wala nisije hapa kuteka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanamuke yule akamwambia: “Bwana, unipe basi maji yale, kusudi nisisikie kiu tena. Hivi sitahitaji kuja tena hapa kuteka maji.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, nipe maji hayo, nisione kiu wala nisije huku kuteka.