John 4:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano, na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako; hapo umesema kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hiyo ni kwa sababu, hata kama umekuwa na waume watano, mwanaume unayeishi naye sasa sio mume wako. Huo ndiyo ukweli wenyewe.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako; hapo umesema kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani waume watano ulikuwa nao, naye uliye naye sasa, siye mume wako; hili umesema kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako; hapo umesema kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana ulikuwa na wanaume watano, na yule unayeishi naye sasa si mume wako. Hivi unasema ukweli.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa maana umekuwa na waume watano, na yeye uliye nae sasa siye mume wako; hapo umesema kweli.