John 4:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo Mwanamke akamwambia, “Bwana, naona ya kuwa wewe u nabii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mwanamke akasema, “Bwana, naona bila shaka wewe ni nabii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule mwanamke akasema, “Bwana, naona ya kuwa wewe ni nabii.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyo Mwanamke akamwambia, “Mheshimiwa, naona ya kuwa wewe u nabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo Mwanamke akamwambia, “Bwana, naona ya kuwa wewe u nabii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mwanamke akasema, “Bwana, naona bila shaka wewe ni nabii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mwanamke akasema, “Bwana, naona bila shaka wewe ni nabii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo Mwanamke akamwambia, “Bwana, naona ya kuwa wewe u nabii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, yule mwanamke alipomwambia: Bwana, nakuona, ya kuwa wewe u mfumbuaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mwanamuke yule akamwambia: “Bwana, ninaona kama wewe ni nabii.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii.