John 4:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini, akawaambia watu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda zake mjini, akawaambia watu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule mwanamke akauacha mtungi wake wa maji na kurudi mjini. Akawaambia watu kule,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda zake mjini, akawaambia watu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda mjini, akawaambia watu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda zake mjini, akawaambia watu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi mwanamuke yule akaacha mutungi wake wa maji pale, akarudi katika muji na kuwaambia watu:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda zake mjini, akawaambia watu,