John 4:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yesu aliposikia hayo, alitoka Yudea akarudi Galilaya;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana Isa alipojua mambo haya, aliondoka Yudea akarudi tena Galilaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
aliacha Uyahudi, akaenda zake tena mpaka Galilaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo akaondoka Uyahudi na kurudi Galilaya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Yesu aliposikia hayo, alitoka Yudea akarudi Galilaya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yesu aliposikia hayo, alitoka Yudea akarudi Galilaya;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana alipojua mambo haya, aliondoka Uyahudi akarudi tena Galilaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana Isa alipojua mambo haya, aliondoka Uyahudi akarudi tena Galilaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
aliondoka Yudea, akaenda zake tena mpaka Galilaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yesu aliposikia hayo, alitoka Yudea akarudi Galilaya;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipoondoka Yudea, akaenda kufika tena Galilea,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
aliacha Uyahudi, akaenda zake tena mpaka Galilaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yesu akaondoka Yudea na kurudi Galilaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akaacha Yahudi akaenda zake Galilaya marra ya pili.