John 4:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huohuo wanafunzi wake walikuwa wanamsihi Yesu: “Mwalimu, kula chakula.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Mwalimu, kula.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabi, ule.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati huyo mwanamke akiwa mjini, wafuasi wa Yesu wakamsihi Bwana wao wakamwambia, “Mwalimu, ule chakula chochote.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati huohuo wanafunzi wake walikuwa wanamsihi Yesu: “Mwalimu, ule chakula.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huohuo wanafunzi wake walikuwa wanamsihi Yesu: “Mwalimu, kula chakula.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Rabi, kula angalau cho chote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Mwalimu, kula angalau chochote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabi, ule.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huohuo wanafunzi wake walikuwa wanamsihi Yesu: “Mwalimu, kula chakula.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Walipokuwa hawajafika, wanafunzi wakamhimiza wakisema: Mfunzi mkuu, ule!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabi, ule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule wanafunzi wa Yesu walimusihi, wakisema: “Mwalimu, kula chakula.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabbi, ule.