John 4:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu hiyo msemo huu ni kweli: ‘Mmoja hupanda na mwingine huvuna.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo ule msemo, ‘Mmoja hupanda na mwingine huvuna,’ ni kweli kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana hapo neno hilo huwa kweli, Mmoja hupanda akavuna mwingine.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni kweli tunaposema, ‘Mtu mmoja hupanda, lakini mwingine huvuna mazao.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa sababu hiyo msemo huu ni kweli: Mmoja hupanda na mwingine huvuna.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu hiyo msemo huu ni kweli: ‘Mmoja hupanda na mwingine huvuna.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo kule kusema, ‘Mmoja hupanda na mwingine huvuna,’ ni kweli kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo kule kusema, ‘Mmoja hupanda na mwingine huvuna,’ ni kweli kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana hapo neno hilo huwa kweli, Mmoja hupanda akavuna mwingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu hiyo msemo huu ni kweli: ‘Mmoja hupanda na mwingine huvuna.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hapo lile fumbo ni la kweli: Mwingine hupanda, mwingine huvuna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana hapo neno hilo huwa kweli, Mmoja hupanda akavuna mwingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana neno hili ni kweli: ‘Mutu mumoja anapanda na mwingine anavuna.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana neno lile, Mmoja hupanda, mwingine akavuna, huwa kweli.