John 4:49 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo ofisa akamwambia, “Bwana, tafadhali twende kabla mwanangu hajafa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule afisa wa mfalme akamwambia, “Bwana, tafadhali shuka kabla mwanangu hajafa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule diwani akamwambia, Bwana, ushuke asijakufa mtoto wangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Afisa wa mfalme akasema, “Bwana, uje kabla mwanangu mdogo hajafa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyo ofisa akamwambia, “Mheshimiwa, tafadhali twende kabla mwanangu hajafa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo ofisa akamwambia, “Bwana, tafadhali twende kabla mwanangu hajafa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule afisa wa kifalme akamwambia, “Bwana, tafadhali shuka kabla mwanangu hajafa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule afisa wa mfalme akamwambia, “Bwana, tafadhali shuka kabla mwanangu hajafa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule ofisa akamwambia, Bwana, ushuke mtoto wangu asije akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo ofisa akamwambia, “Bwana, tafadhali twende kabla mwanangu hajafa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mtu wa kifalme alipomwambia: Bwana, shuka, mtoto wangu asije kufa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule diwani akamwambia, Bwana, ushuke asijakufa mtoto wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mukubwa wa serikali akamujibu: “Bwana, ninakuomba ufike kwangu mbele mutoto wangu hajakufa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yule diwani akamwambia, Bwana, shuka kabla hajafa mtoto wangu.