John 5:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye akawaambia, “Yule mtu aliyeniponya ndiye aliyeniambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako na uende.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawajibu, Yeye aliyenifanya kuwa mzima ndiye aliyeniambia, Jitwike godoro lako, uende.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini yeye akajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Beba mkeka wako uende.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini yeye akawaambia, “Yule mtu aliyeniponya ndiye aliyeniambia: Chukua mkeka wako, tembea.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye akawaambia, “Yule mtu aliyeniponya ndiye aliyeniambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako na uende.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako na uende.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawajibu, Yeye aliyenifanya kuwa mzima ndiye aliyeniambia, Jitwike godoro lako, uende.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye akawaambia, “Yule mtu aliyeniponya ndiye aliyeniambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini akawajibu: Yule aliyenipa kuwa mzima ameniambia: Jitwishe kitanda chako, upate kwenda zako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawajibu, Yeye aliyenifanya kuwa mzima ndiye aliyeniambia, Jitwike godoro lako, uende.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawajibu: “Yule aliyeniponyesha ndiye aliyeniambia: ‘Twaa kipoyi chako na uende.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawajibu, Yeye aliyenifanya kuwa mzima, ndiye aliyeniambia, Jitwike kitanda chako, ukaende.