John 5:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekuambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee,’ ni nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamuuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako uende?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakamwuliza, Yule aliyekuambia, Jitwike, uende, ni nani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamwuliza, “Ni nani aliyekuambia kubeba mkeka wako na kutembea?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekwambia: Chukua mkeka wako, tembea, ni nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekuambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee,’ ni nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako uende?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamuuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako uende?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakamwuliza, Yule aliyekuambia, Jitwike, uende, ni nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakamwuliza, “Huyo mtu aliyekuambia: ‘Chukua mkeka wako, utembee,’ ni nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwuliza: Nani huyo mtu aliyekuambia: Jitwishe, upate kwenda zako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakamwuliza, Yule aliyekuambia, Jitwike, uende, ni nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakamwuliza kwamba ni nani aliyemwambia kwamba atwae kipoyi wake na aende.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi wakamwuliza, Yule mtu aliyekuambia, Jitwike kitanda chako ukaende, ni nani?