John 5:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa vile Yesu alifanya jambo hilo siku ya Sabato, Wayahudi walianza kumdhulumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo viongozi wa Wayahudi wakaanza kumsumbua Isa, kwa sababu alikuwa anafanya mambo kama hayo siku ya Sabato.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alikuwa anayafanya yote haya katika siku ya Sabato. Hivyo Wayahudi hao wakaanza kumsumbua asiendelee.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa vile Yesu alifanya jambo hilo siku ya Sabato, Wayahudi walianza kumdhulumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa vile Yesu alifanya jambo hilo siku ya Sabato, Wayahudi walianza kumdhulumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Wayahudi wakaanza kumsumbua, kwa sababu alikuwa anafanya mambo kama hayo siku ya Sabato.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Wayahudi wakaanza kumsumbua Isa, kwa sababu alikuwa anafanya mambo kama hayo siku ya Sabato.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo Wayahudi wakaudhiwa na Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa vile Yesu alifanya jambo hilo siku ya Sabato, Wayahudi walianza kumdhulumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Wayuda wakamnyatia Yesu, kwa sababu alivifanyia hivyo siku ya mapumziko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ile Wayuda wakaanza kumufuatilia Yesu kwa kuwa alifanya mambo haya kwa siku ya Sabato.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu hiyo Wayahudi wakaanza kumwudhi Yesu, wakitaka kumwua, kwa kuwa alitenda haya siku ya sabato.