John 5:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba hamhukumu mtu yeyote; shughuli yote ya hukumu amemkabidhi Mwana,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wala Baba hamhukumu mtu yeyote, lakini hukumu yote amempa Mwana,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Vile vile, Baba hamhukumu mtu. Bali amempa Mwana nguvu ya kufanya hukumu zote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baba hamhukumu mtu yeyote; shughuli yote ya hukumu amemkabidhi Mwana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba hamhukumu mtu yeyote; shughuli yote ya hukumu amemkabidhi Mwana,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wala Baba hamhukumu mtu ye yote, lakini hukumu yote amempa Mwana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wala Baba hamhukumu mtu yeyote, lakini hukumu yote amempa Mwana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Baba hamhukumu mtu yeyote, bali amempa Mwana hukumu yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba hamhukumu mtu yeyote; shughuli yote ya hukumu amemkabidhi Mwana,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hata kuhukumu Baba hamhukumu mtu, ila hukumu yote amempa Mwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na zaidi ya hii Baba hahukumu hata mutu mumoja, lakini amemupa Mwana uwezo wote wa kuhukumu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana Baba hamhukumu mtu aliye yote, bali amempa Mwana hukumu yote;