John 5:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Msishangae kusikia haya, kwa maana saa inakuja ambapo wale walio makaburini wataisikia sauti yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi msishangazwe na hili. Wakati unakuja ambapo watu wote waliokufa na kuwamo makaburini mwao wataisikia sauti yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Msishangae kusikia haya, kwa maana saa inakuja ambapo wale walio makaburini wataisikia sauti yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Msishangae kusikia haya, kwa maana saa inakuja ambapo wale walio makaburini wataisikia sauti yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa inakuja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msilistaajabu hilo la kwamba: Saa inakuja, ndipo, wote waliomo makaburini watakapoisikia sauti yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musishangae kwa ajili ya maneno haya, kwa sababu kutakuwa wakati wafu wote wanaokuwa ndani ya makaburi watakaposikia sauti yake
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Msistaajabie haya: kwa maana saa inakuja, ambayo watu wote waliomo makaburini watakapoisikia sauti yake, nao watatoka: