John 5:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo barazani mlikuwa na wagonjwa wengi wamekaa: Vipofu, viwete na waliopooza. [Walikuwa wakingojea maji yatibuliwe,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapa palikuwa na idadi kubwa ya wasiojiweza, yaani vipofu, viwete, na waliopooza [wakingojea maji yatibuliwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndani ya hayo jamii kubwa ya wagonjwa walikuwa wamelala, vipofu, viwete, nao waliopooza, [wakingoja maji yachemke.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wagonjwa wengi walikuwa wamelala katika mabaraza pembeni mwa bwawa. Baadhi yao walikuwa wasiyeona, wengine walemavu wa viungo, na wengine waliopooza mwili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Humo barazani mlikuwa na wagonjwa wengi wamekaa: vipofu, viwete na waliopooza. Walikuwa wakingojea maji yatibuliwe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humo barazani mlikuwa na wagonjwa wengi wamekaa: vipofu, viwete na waliopooza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapa palikuwa na idadi kubwa ya wasiojiweza, yaani, vipofu, viwete, na waliopooza, wakingojea maji yatibuliwe
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapa palikuwa na idadi kubwa ya wasiojiweza, yaani, vipofu, viwete, na waliopooza [wakingojea maji yatibuliwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndani ya hayo jamii kubwa ya wagonjwa walikuwa wamelala, vipofu, viwete, nao waliopooza, [wakingoja maji yachemke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo barazani mlikuwa na wagonjwa wengi wamekaa: Vipofu, viwete na waliopooza. [Walikuwa wakingojea maji yatibuliwe,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humo mlikuwa na wagonjwa wengi, kama vipofu na viwete na wenye kupooza; wote walilala mle wakingoja, maji yatukuswe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndani ya hayo jamii kubwa ya wagonjwa walikuwa wamelala, vipofu, viwete, nao waliopooza, [wakingoja maji yachemke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wagonjwa wengi walikuwa wakilala katika viingilio vile; kulikuwa vipofu, vilema na wenye kupooza. [Walikuwa wakingoja maji yatikiswe,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndani ya hayo jamii kubwa ya wagonjwa walikuwa wamelala, vipofu, viwete, na waliopooza, wakingoja maji yachemke.