John 5:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Endapo nitawaeleza watu mambo yangu mwenyewe, watu hawatakuwa na uhakika kama yale ninayosema ni kweli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi ninapojishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu sio wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mimi nikijishuhudia nafsi yangu, ushuhuda wangu si kweli.