John 5:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mlituma wajumbe kwa Yahya, naye akaishuhudia kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninyi mlituma watu kwa Yohana, naye akaishuhudia kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mliwatuma watu kwa Yohana, naye akawaambia yaliyo kweli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mlituma wajumbe kwa Yohana, naye akashuhudia juu ya kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mlituma wajumbe kwa Yahya, naye akashuhudia juu ya kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninyi mlituma watu kwa Yohana, naye akaishuhudia kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mlituma kwa Yohana, naye akayashuhudia yaliyo ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninyi mlituma watu kwa Yohana, naye akaishuhudia kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mulituma wajumbe kwa Yoane, naye alishuhudia ukweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ninyi mlituma watu kwa Yohana, akaishuhudia kweli.