John 5:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Si kwamba mimi nautegemea ushahidi wa wanadamu, lakini nasema mambo haya ili mpate kuokolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Si kwamba naukubali ushuhuda wa mwanadamu; la, bali ninalitaja hili ili ninyi mpate kuokolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mimi siupokei ushuhuda kwa wanadamu; walakini ninasema haya ili ninyi mpate kuokoka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo sihitaji mtu yeyote wa kuwaeleza watu juu yangu, isipokuwa nawakumbusha ninyi yale aliyoyasema Yohana ili muweze kuokolewa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Si kwamba mimi nautegemea ushahidi wa wanadamu, lakini nasema mambo haya ili mpate kuokolewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Si kwamba mimi nautegemea ushahidi wa wanadamu, lakini nasema mambo haya ili mpate kuokolewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Si kwamba naukubali ushuhuda wa mwanadamu, la, bali ninalitaja hili kusudi ninyi mpate kuokolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Si kwamba naukubali ushuhuda wa mwanadamu, la, bali ninalitaja hili kusudi ninyi mpate kuokolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Si kwamba ninaupokea ushuhuda wa wanadamu; lakini ninasema haya ili ninyi mpate kuokoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Si kwamba mimi nautegemea ushahidi wa wanadamu, lakini nasema mambo haya ili mpate kuokolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi sitaki, mtu anishuhudie, ila nayasema haya, ninyi mpate kuokoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mimi siupokei ushuhuda kwa wanadamu; walakini ninasema haya ili ninyi mpate kuokoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli mimi sihitaji kushuhudiwa na mutu, lakini ninasema maneno haya kusudi mupate kuokolewa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini mimi sipokei ushuhuda kwa wana Adamu; walakini ninasema haya illi ninyi mpate kuokoka.