John 5:45 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye nyinyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini msidhani kuwa mimi nitawashtaki mbele za Baba. Mshtaki wenu ni Musa, ambaye mmemwekea tumaini lenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msidhani kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba; yuko anayewashitaki, ndiye Musa, mnayemtumaini ninyi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msifikiri kwamba mimi ndiye nitakayesimama mbele za Baba na kuwashtaki. Musa ndiye atakayewashtaki. Na ndiye mliyetegemea angeliwaokoa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye ninyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye nyinyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini msidhani kuwa mimi nitawashtaki mbele za Baba, mshtaki wenu ni Mose, ambaye mmemwekea tumaini lenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini msidhani kuwa mimi nitawashtaki mbele za Baba, mshtaki wenu ni Musa, ambaye mmemwekea tumaini lenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msidhani kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba; yuko anayewashitaki, ndiye Musa, mnayemtumaini ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye nyinyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiniwazie ya kwamba: Mimi nitawasuta kwa Baba; yuko msutaji wenu, ndiye Mose, ninyi mliyemngojea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msidhani kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba; yuko anayewashitaki, ndiye Musa, mnayemtumaini ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musizanie kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba. Atakayewashitaki ninyi ni Musa, ambaye mulimutumainia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Msidhani kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba: yuko anaewashitaki, yaani Musa, mnaemtumaini ninyi.