John 5:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akasema, “Simama juu! Beba kirago chako na utembee.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamwambia, “Simama, chukua mkeka wako na uende.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako, uende.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akamwambia: Inuka, jitwishe kitanda chako, upate kwenda zako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akamwambia: “Simama, utwae kipoyi chako na uende.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akamwambia, Simama, jitwike kitanda chako, ukaende.