John 5:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni sabato siku hiyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara hiyo, mtu huyo akapona. Akabeba kirago chake na kuanza kutembea. Siku yalipotokea haya yote ilikuwa ni Siku ya Sabato.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni sabato siku hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo yule mtu akawa mzima, akajitwisha kitanda chake, akaenda zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni sabato siku hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja mutu yule akapona, akatwaa kipoyi chake na kuanza kutembea. Siku ile ilikuwa siku ya Sabato,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra yule mtu akawa mzima, akajitwika kitanda chake, akaenda. Bassi ilikuwa sabato siku ile.