John 6:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya hayo, Yesu alivuka ziwa Galilaya (au ziwa Tiberia).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya haya, Isa alienda ng’ambo ya Bahari ya Galilaya (ambayo pia huitwa Bahari ya Tiberia).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada ya hayo Yesu alikwenda zake ng'ambo ya Bahari ya Galilaya, nayo ndiyo ya Tiberia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadaye, Yesu akavuka Ziwa Galilaya (ambalo pia linaitwa Ziwa Tiberia).
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya hayo, Yesu alivuka ziwa Galilaya (au Ziwa Tiberia).
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya hayo, Yesu alivuka ziwa Galilaya (au ziwa Tiberia).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya haya, Yesu alikwenda ng'ambo ya Bahari ya Galilaya, ambayo pia huitwa Bahari ya Tiberia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya haya, Isa alikwenda ng’ambo ya Bahari ya Galilaya, ambayo pia huitwa Bahari ya Tiberia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya hayo Yesu alikwenda zake ng'ambo ya Bahari ya Galilaya, nayo ndiyo ya Tiberia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya hayo, Yesu alivuka ziwa Galilaya (au ziwa Tiberia).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Kisha Yesu akaondoka kwenda ng'ambo ya bahari ya Galilea iitwayo ya Tiberia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada ya hayo Yesu alikwenda zake ng’ambo ya Bahari ya Galilaya, nayo ndiyo ya Tiberia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya maneno hayo, Yesu akavuka ziwa la Galilaya (linaloitwa vilevile Tiberia).
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
BAADA ya haya Yesu alikwenda zake ngʼambu ya bahari ya Galilaya, bahari ya Tiberia.