John 6:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ilipokuwa jioni wanafunzi wake wakatelemka baharini
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Jioni ile wafuasi wake wakashuka kwenda ziwani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilipofika jioni, wanafunzi wake walitelemka kwenda baharini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ilipokuwa jioni wanafunzi wake wakateremka baharini
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini jua lilipokwisha kuchwa, wanafunzi wake wakatelemka kwenda baharini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ilipokuwa jioni wanafunzi wake wakatelemka baharini
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilipokuwa magaribi, wanafunzi wake wakashuka kwenda kwenye ziwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta ilipokuwa jioni, wanafunzi wake wakatelemka baharini: