John 6:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, hao watu walipogundua kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda Kafarnaumu wakimtafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara wale watu wakatambua kwamba Isa hakuwa hapo, wala wanafunzi wake. Wakaingia kwenye mashua hizo, wakaenda Kapernaumu ili kumtafuta Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mkutano, walipoona ya kuwa Yesu hayuko huko wala wanafunzi wake, waliingia mashuani wenyewe, wakaenda Kapernaumu wakimtafuta Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wakaona kuwa Yesu na wafuasi wake hawakuwa hapo. Hivyo wakaingia katika mashua zao na kuelekea Kapernaumu kumtafuta Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, hao watu walipogundua kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda Kafarnaumu wakimtafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, hao watu walipogundua kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda Kafarnaumu wakimtafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara wale watu wakatambua kwamba Yesu hakuwepo hapo, wala wanafunzi wake. Wakaingia kwenye mashua hizo, wakaenda Kapernaumu ili kumtafuta Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara wale watu wakatambua kwamba Isa hakuwepo hapo, wala wanafunzi wake. Wakaingia kwenye mashua hizo, wakaenda Kapernaumu ili kumtafuta Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mkutano, walipoona ya kuwa Yesu hayuko huko wala wanafunzi wake, waliingia mashuani wenyewe, wakaenda Kapernaumu wakimtafuta Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, hao watu walipogundua kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda Kafarnaumu wakimtafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Watu walipoona, ya kuwa Yesu hayuko, ya kuwa wanafunzi wake hawako nao, wakaingia katika vile vyombo, wakafika Kapernaumu, wamtafute Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mkutano, walipoona ya kuwa Yesu hayuko huko wala wanafunzi wake, waliingia mashuani wenyewe, wakaenda Kapernaumu wakimtafuta Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati walipoona kama Yesu hakukuwa pale wala wanafunzi wake, wakajiingilia ndani ya vyombo vile na kwenda Kapernaumu kumutafuta Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bassi makutano walipoona ya kuwa Yesu hakuwako huko wala wanafunzi wake, wenyewe wakaingla vyomboni, wakaenda Kapernaum wakimtafuta Yesu.