John 6:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wakamuuliza, “Utafanya ishara gani ya muujiza, ili tuione tukuamini? Utafanya jambo gani?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia, Unafanya ishara gani basi, ili tuione tukakuamini? Unatenda kazi gani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo watu wakamwuliza, “Ni ishara gani utakayotufanyia? Ili nasi tutakapokuona unafanya ishara basi tukuamini? Je, utafanya nini?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wakamwuliza, “Utafanya ishara gani ya mwujiza, ili tuione tukuamini? Utafanya jambo gani?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wakamuuliza, “Utafanya ishara gani ya muujiza, ili tuione tukuamini? Utafanya jambo gani?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia, Unafanya ishara gani basi, ili tuione tukakuamini? Unatenda kazi gani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia tena: Wewe unafanya kielekezo gani, tukione, tukutegemee? Wewe unasumbukia nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia, Unafanya ishara gani basi, ili tuione tukakuamini? Unatenda kazi gani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwuliza: “Basi utatuonyesha kitambulisho gani kusudi tupate kukiona na kukuamini? Utafanya jambo gani?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamwambia, Unafanya ishara gani bassi illi tuone tukaamini? Unatenda kazi gani?