John 6:43 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawaambia, “Acheni kunungunika nyinyi kwa nyinyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Isa akawaambia, “Acheni kunung’unikiana ninyi kwa ninyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yesu akajibu, akawaambia, Msinung'unike ninyi kwa ninyi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu akawaambia, “Acheni kunung'unika miongoni mwenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawaambia, “Acheni kunung'unika ninyi kwa ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawaambia, “Acheni kunung'unika nyinyi kwa nyinyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Yesu akawaambia, “Acheni kunung'unikiana ninyi kwa ninyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Isa akawaambia, “Acheni kunung’unikiana ninyi kwa ninyi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yesu akajibu, akawaambia, Msinung'unike ninyi kwa ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawaambia, “Acheni kunungunika nyinyi kwa nyinyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akajibu, akawaambia: Msinung'unike ninyi kwa ninyi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yesu akajibu, akawaambia, Msinung’unike ninyi kwa ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawajibu: “Musikuwe na manunguniko kati yenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Yesu akajibu, akawaambia, Msinungʼunike ninyi kwa ninyi.