John 6:50 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini huu ni mkate unaoshuka kutoka mbinguni ili yeyote atakayeula asife.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hapa kuna mkate kutoka mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiki ni chakula kishukacho kutoka mbinguni, kwamba mtu akile wala asife.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hapa upo mkate unaotoka mbinguni. Yeyote anayekula mkate huu hatakufa kamwe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huu ndio mkate kutoka mbinguni; mkate ambao anayekula hatakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini huu ni mkate unaoshuka kutoka mbinguni ili yeyote atakayeula asife.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu ye yote akiula, hatakufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiki ni chakula kishukacho kutoka mbinguni, kwamba mtu akile wala asife.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini huu ni mkate unaoshuka kutoka mbinguni ili yeyote atakayeula asife.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huu ndio mkate ushukao toka mbinguni, kwamba: Mwenye kuula asife!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiki ni chakula kishukacho kutoka mbinguni, kwamba mtu akile wala asife.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ule ni mukate ulioshuka toka mbinguni, anayeukula hatakufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Huu ni mkate ushukao kutoka mbinguni, illi mtu aule wala asife.