John 6:56 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu, akaa ndani yangu, nami nakaa ndani yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote alaye mwili wangu na kunywa damu yangu, atakaa ndani yangu nami nitakaa ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wale waulao mwili wangu na kuinywa damu yangu wanaishi ndani yangu, nami naishi ndani yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, akaa ndani yangu, nami nakaa ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu, akaa ndani yangu, nami nakaa ndani yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote alaye mwili wangu na kunywa damu yangu, atakaa ndani yangu nami nitakaa ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote alaye mwili wangu na kunywa damu yangu, atakaa ndani yangu nami nitakaa ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu, akaa ndani yangu, nami nakaa ndani yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kuula mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa mwangu, nami mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayekula mwili wangu na kunywa damu yangu anakaa ndani yangu, nami ninakaa ndani yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ailae nyama yangu na kuinywa damu yangu, hukaa ndani yangu, na mimi ndani yake.