John 7:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa Wayahudi walikuwa wakimtafuta huko kwenye Sikukuu na kuulizana, “Yuko wapi huyu mtu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Wayahudi wakamtafuta kwenye sikukuu, wakasema, Yuko wapi yule?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya sikukuu ile kupita viongozi wa Kiyahudi wakawa wanamtafuta Yesu. Wakasema, “Yuko wapi huyo Yesu?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; Wakauliza: “Yuko wapi?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wayahudi walikuwa wakimtafuta huko kwenye Sikukuu na kuulizana, “Yuko wapi huyu mtu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wayahudi walikuwa wakimtafuta huko kwenye Sikukuu na kuulizana, “Yuko wapi huyu mtu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Wayahudi wakamtafuta kwenye sikukuu, wakasema, Yuko wapi yule?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda walimtafuta penye sikukuu, wakasema: Yuko wapi yule?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Wayahudi wakamtafuta kwenye sikukuu, wakasema, Yuko wapi yule?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wayuda walikuwa wakimutafuta kwenye sikukuu ile na kuuliza kwamba yeye yuko wapi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Wayahudi wakamtafuta katika siku kuu wakanena, Yuko wapi huyo?