John 7:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo hakuna mtu aliyethubutu kusema habari zake hadharani kwa kuwaogopa viongozi wa Wayahudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hakuna mtu yeyote aliyemsema waziwazi kwa sababu ya kuwaogopa viongozi wa Wayahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini hakuna mtu aliyemtaja waziwazi, kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pamoja na hayo hakuwepo mtu aliyekuwa na busara zaidi kati yao kusema na Yesu kwa uwazi. Kwani waliwaogopa viongozi wa Wayahudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hata hivyo hakuna mtu aliyethubutu kusema, habari zake hadharani kwa kuwaogopa viongozi wa Wayahudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo hakuna mtu aliyethubutu kusema habari zake hadharani kwa kuwaogopa viongozi wa Wayahudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hakuna mtu ye yote aliyemsema waziwazi kumhusu kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hakuna mtu yeyote aliyemsema waziwazi kumhusu kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hakuna mtu aliyemsema waziwazi, kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo hakuna mtu aliyethubutu kusema habari zake hadharani kwa kuwaogopa viongozi wa Wayahudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hapana aliyemsemea mbele ya watu, kwa sababu waliwaogopa Wayuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini hakuna mtu aliyemtaja waziwazi, kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakuna mutu aliyesema juu yake waziwazi, kwa sababu waliwaogopa wakubwa wa Wayuda.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Illakini hapana mtu aliyemtaja kwa wazi kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi.