John 7:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikukuu hiyo ilipofikia katikati, Yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilipokaribia katikati ya Sikukuu, Isa alipanda kwenda Hekaluni na kuanza kufundisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikawa katikati ya sikukuu Yesu alikwea kuingia hekaluni, akafundisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sherehe ile ilipokaribia kuisha, Yesu akaenda katika maeneo ya Hekalu na kuanza kufundisha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sikukuu hiyo ilipofikia katikati, Yesu naye alikwenda Hekaluni, akaanza kufundisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikukuu hiyo ilipofikia katikati, Yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilipokaribia katikati ya Sikukuu, Yesu alipanda kwenda Hekaluni na kuanza kufundisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilipokaribia katikati ya Sikukuu, Isa alipanda kwenda Hekaluni na kuanza kufundisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ikawa katikati ya sikukuu Yesu alipanda kuingia hekaluni, akafundisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikukuu hiyo ilipofikia katikati, Yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini siku za katikati za sikukuu Yesu akapanda kupaingia Patakatifu, akafundisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikawa katikati ya sikukuu Yesu alikwea kuingia hekaluni, akafundisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu katikati ya sikukuu, Yesu akaingia ndani ya hekalu na kuanza kufundisha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta ilipokuwa katikati ya siku kuu Yesu akapanda, akaingia hekalui akafundisha.