John 7:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Wayahudi wakashangaa na kusema, “Mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wayahudi wakastaajabia mafundisho yake wakasema, “Mtu huyu amepataje kujua mambo haya bila kufundishwa?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wayahudi wakastaajabu wakisema, Amepataje huyu kujua elimu, ambaye hakusoma?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa Kiyahudi waliomsikiliza walishangazwa na kusema, “Mtu huyu amejifunza wapi mambo haya yote? Yeye hakuwahi kupata mafundisho kama yale tuliyonayo.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Wayahudi wakashangaa na kusema “Mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Wayahudi wakashangaa na kusema, “Mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wayahudi wakastaajabia mafundisho yake wakasema, “Mtu huyu amepataje kujua mambo haya bila kufundishwa?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wayahudi wakastaajabia mafundisho yake wakasema, “Mtu huyu amepataje kujua mambo haya bila kufundishwa?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wayahudi wakastaajabu wakisema, Amepataje huyu kujua elimu, ambaye hakusoma?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Wayahudi wakashangaa na kusema, “Mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda walipostaajabu wakisema: Huyu anajuaje Maandiko, naye hakufundishwa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wayahudi wakastaajabu wakisema, Amepataje huyu kujua elimu, ambaye hakusoma?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wayuda wakashangaa, wakisema: “Mutu huyu amepata elimu kama hii namna gani, naye hakufundishwa?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wayahudi wakastaajabu, wakinena, Amepataje huyo kujua elimu, nae hajasoma?