John 7:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo watu wakamjibu, “Una pepo wewe! Nani anataka kukuua?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ule umati wa watu wakamjibu, “Wewe una pepo mchafu! Ni nani anayetaka kukuua?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkutano wakajibu, Ama! Una pepo! Ni nani anayetafuta kukuua?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wakamjibu Yesu, “Pepo amekuchanganya akili! Sisi hatuna mipango ya kukuua!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo watu wakamjibu, “Una wazimu wewe! Nani anataka kukuua?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo watu wakamjibu, “Una pepo wewe! Nani anataka kukuua?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ule umati wa watu ukamjibu, “Wewe una pepo mchafu! Ni nani anayetaka kukuua?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ule umati wa watu ukamjibu, “Wewe una pepo mchafu! Ni nani anayetaka kukuua?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkutano wakajibu, Ama! Una pepo! Ni nani anayetafuta kukuua?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo watu wakamjibu, “Una pepo wewe! Nani anataka kukuua?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wakajibu: Una pepo! Yuko nani anayetaka kukuua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkutano wakajibu, Ama! Una pepo! Ni nani anayetafuta kukuua?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wale wakajibu: “Wewe uko na pepo. Nani anatafuta kukuua?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makutano wakajibu, wakasema, Una pepo; ni nani anaetafuta kukuua?