John 7:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawajibu, “Nimefanya muujiza mmoja na nyote mkastaajabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akajibu, akawaambia, Mimi nalitenda kazi moja, nanyi nyote mnaistaajabia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawambia, “Nilitenda ishara moja siku ya Sabato, na wote mkashangaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawajibu, “Nimefanya mwujiza mmoja na nyote mkastaajabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawajibu, “Nimefanya muujiza mmoja na nyote mkastaajabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akajibu, akawaambia, Mimi nilitenda kazi moja, nanyi nyote mnaistaajabia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akajibu, akawaambia: Ni tendo moja tu, nililolifanya, nanyi nyote mkalistaajabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akajibu, akawaambia, Mimi nalitenda kazi moja, nanyi nyote mnaistaajabia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawajibu: “Nilifanya jambo moja, nalo limewashangaza ninyi wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akajibu, akawaambia, Nalitenda kazi moja, nanyi nyote mnastaajabu.