John 7:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazameni sasa! Anawaonya hadharani, wala hakuna mtu anayemwambia hata neno. Je, yawezekana kuwa viongozi wametambua kweli kwamba huyu ndiye Kristo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbona yuko hapa anazungumza hadharani, na wala hawamwambii neno lolote? Je, inawezekana viongozi wanafahamu kuwa huyu ndiye Al-Masihi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kumbe! Anena waziwazi, wala hawamwambii neno! Yamkini hao wakuu wanajua hakika ya kuwa huyu ndiye Kristo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini anafundisha mahali ambapo kila mtu anaweza kumwona na kumsikia. Wala hakuna anayejaribu kumzuia kufundisha. Inawezekana viongozi wamekubali kuwa kweli yeye ni Masihi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tazameni sasa! Anawaonya hadharani, wala hakuna mtu anayemwambia hata neno. Je, yawezekana kuwa viongozi wametambua kweli kwamba huyu ndiye Kristo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazameni sasa! Anawaonya hadharani, wala hakuna mtu anayemwambia hata neno. Je, yawezekana kuwa viongozi wametambua kweli kwamba huyu ndiye Kristo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbona yuko hapa anazungumza hadharani na wala hawamwambii neno lo lote? Je, inawezekana viongozi wanafahamu kuwa huyu ndiye Kristo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbona yuko hapa anazungumza hadharani na wala hawamwambii neno lolote? Je, inawezekana viongozi wanafahamu kuwa huyu ndiye Al-Masihi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kumbe! Anena waziwazi, wala hawamwambii neno! Inawezekana hao wakuu wanajua hakika ya kuwa huyu ndiye Kristo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazameni sasa! Anawaonya hadharani, wala hakuna mtu anayemwambia hata neno. Je, yawezekana kuwa viongozi wametambua kweli kwamba huyu ndiye Kristo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, anasema waziwazi, wasimjibu neno! Labda nao wakubwa wetu wametambua kweli, ya kuwa huyu ni Kristo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kumbe! Anena waziwazi, wala hawamwambii neno! Yamkini hao wakuu wanajua hakika ya kuwa huyu ndiye Kristo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia, anasema waziwazi wala hawamwambii neno! Labda wakubwa nao wametambua kweli kuwa huyu ndiye Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kumbe! ananena waziwazi wala hawamwambii neno? Yumkini wakuhwa wanajua kwa hakika ya kuwa huyu ni Kristo!