John 7:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka, lakini sisi tunajua alikotoka mtu huyu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tunafahamu huyu mtu anakotoka, lakini Al-Masihi atakapokuja, hakuna yeyote atakayejua atokako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini huyu twamjua atokako; bali Kristo atakapokuja hakuna ajuaye atokako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Masihi halisi atakapokuja, hakuna atakayejua anakotoka. Nasi tunajua nyumbani kwake mtu huyu ni wapi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka, lakini sisi tunajua alikotoka mtu huyu!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka, lakini sisi tunajua alikotoka mtu huyu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tunafahamu huyu mtu anakotoka, lakini Kristo atakapokuja, hakuna ye yote atakayejua atokako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tunafahamu huyu mtu anakotoka, lakini Al-Masihi atakapokuja, hakuna yeyote atakayejua atokako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini huyu twamjua atokako; bali Kristo atakapokuja hakuna ajuaye atokako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kristo atakapokuja hakuna mtu atakayejua mahali alikotoka, lakini sisi tunajua alikotoka mtu huyu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini huyu tunamjua, anakotoka; lakini Kristo atakapokuja, hakuna atakayetambua, atokako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini huyu twamjua atokako; bali Kristo atakapokuja hakuna ajuaye atokako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini tunajua pahali mutu huyu anapotoka. Kristo atakapokuja, hakuna mutu atakayejua pahali atakapotokea.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini huyu twamjua atokako, bali Masihi atakapokuja, hakuna ajuae atokako.