John 7:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtanitafuta lakini hamtaniona, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtanitafuta lakini hamtaniona, nami niliko ninyi hamwezi kuja.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi mtanitafuta, lakini hamtaniona. Nanyi hamwezi kuja kule nitakapokuwa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtanitafuta lakini hamtaniona, maana pale nitakapokuwa ninyi hamwezi kufika.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtanitafuta lakini hamtaniona, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtanitafuta, lakini hamtaniona, nami niliko, ninyi hamwezi kuja.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtanitafuta lakini hamtaniona, nami niliko ninyi hamwezi kuja.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtanitafuta lakini hamtaniona, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtanitafuta, msinione; napo hapo, nitakapokuwapo, ninyi hamwezi kupafika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutanitafuta, lakini hamutaniona, kwa maana hamuwezi kufika pahali nitakapokuwa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtanitafuta, wala hamtaniona; nami nilipo, ninyi hamwezi kuja.