John 7:36 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ana maana gani anaposema: ‘Mtanitafuta lakini hamtanipata, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika?’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye ana maana gani anaposema, ‘Mtanitafuta lakini hamtaniona,’ na, ‘nami niliko ninyi hamwezi kuja’?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni neno gani hilo alilolisema, Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Anasema, ‘Mtanitafuta, lakini hamtaniona.’ Vile vile anasema, ‘Hamwezi kuja kule nitakapokwenda.’ Maana yake ni nini?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ana maana gani anaposema: Mtanitafuta lakini hamtanipata, na mahali nitakapokuwa ninyi hamwezi kufika?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ana maana gani anaposema: ‘Mtanitafuta lakini hamtanipata, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika?’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye ana maana gani anaposema, ‘Mtanitafuta lakini hamtaniona na huko nitakapokuwa ninyi hamwezi kuja?’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ana maana gani anaposema, ‘Mtanitafuta lakini hamtaniona,’ na, ‘nami niliko ninyi hamwezi kuja’?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni neno gani hilo alilolisema, Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ana maana gani anaposema: ‘Mtanitafuta lakini hamtanipata, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika?’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni neno gani hilo, alilolisema: Mtanitafuta, msinione? Napo hapo, nitakapokuwapo, ninyi hamwezi kupafika?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni neno gani hilo alilolisema, Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anasema kwamba tutamutafuta, lakini hatutamwona, na kwamba hatuwezi kufika pahali atakapokwenda. Maana ya maneno haya ni gani?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Neno gani hilo alilolisema, Mtanitafuta wala hamtaniona; na nilipo mimi, ninyi hamwezi kuja?