John 7:45 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wale walinzi wakarudi kwa makuhani wakuu na Mafarisayo; nao wakawauliza, “Kwa nini hamkumleta?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Isa, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wale watumishi wakawaendea wakuu wa makuhani na Mafarisayo. Nao wakawaambia, Mbona hamkumleta?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo. Makuhani na Mafarisayo wakawauliza, “Kwa nini hamjamleta Yesu?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha wale walinzi wakarudi kwa makuhani wakuu na Mafarisayo; nao wakawauliza, “Kwa nini hamkumleta?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wale walinzi wakarudi kwa makuhani wakuu na Mafarisayo; nao wakawauliza, “Kwa nini hamkumleta?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Yesu, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Isa, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wale watumishi wakawaendea wakuu wa makuhani na Mafarisayo. Nao wakawaambia, Mbona hamkumleta?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wale walinzi wakarudi kwa makuhani wakuu na Mafarisayo; nao wakawauliza, “Kwa nini hamkumleta?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wale watumishi wakarudi kwa watambikaji wakuu na kwa Mafariseo; nao walipowauliza: Mbona hamkumleta?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wale watumishi wakawaendea wakuu wa makuhani na Mafarisayo. Nao wakawaambia, Mbona hamkumleta?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wale walinzi wakarudi kwa wakubwa wa makuhani na Wafarisayo. Nao wakawauliza walinzi: “Sababu gani hamukuleta Yesu?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi wale watumishi wakawaendea makuhani wakuu na Mafarisayo, nao wakawaambia, Mbona hamkumleta?