John 7:48 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mmekwisha kumwona hata mmoja wa viongozi wa watu, au mmoja wa Mafarisayo aliyemwamini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, kuna kiongozi yeyote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani katika wakuu amwaminiye, au katika Mafarisayo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hamuoni kuwa hakuna kiongozi yeyote wala sisi Mafarisayo anayemwamini?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, mmekwisha mwona hata mmoja wa viongozi wa watu, au mmoja wa Mafarisayo aliyemwamini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mmekwisha kumwona hata mmoja wa viongozi wa watu, au mmoja wa Mafarisayo aliyemwamini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, kuna kiongozi ye yote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, kuna kiongozi yeyote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani katika wakuu amwaminiye, au katika Mafarisayo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mmekwisha kumwona hata mmoja wa viongozi wa watu, au mmoja wa Mafarisayo aliyemwamini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Yuko mkubwa au Fariseo anayemtegemea?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani katika wakuu amwaminiye, au katika Mafarisayo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani kati ya wakubwa wetu au kati ya Wafarisayo aliyemwamini?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ni nani katika wakubwa amwammiye, au katika Mafarisayo?