John 7:49 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini umati huu haujui sheria ya Mose; umelaaniwa!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini umati huu wa watu wasiojua Torati ya Musa, wamelaaniwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini makutano hawa wasioifahamu torati wamelaaniwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini watu hao walio nje wasiojua sheria wamo katika laana ya Mungu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini umati huu haujui Sheria ya Mose; umelaaniwa!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini umati huu haujui sheria ya Mose; umelaaniwa!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini huu umati wa watu wasiojua Sheria ya Mose, wamelaaniwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini huu umati wa watu wasiojua Torati ya Musa, wamelaaniwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini makutano hawa wasioifahamu torati wamelaaniwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini umati huu haujui sheria ya Mose; umelaaniwa!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni hili kundi la watu tu wasioyatambua Maonyo, ndio walioapizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini makutano hawa wasioifahamu torati wamelaaniwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu hawa wasiojua Sheria ya Musa wamelaaniwa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini makutano hayo wasioifahamu torati wamelaaniwa.