John 7:53 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wote wakaondoka, kila mtu akaenda nyumbani;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakaondoka, kila mtu akarudi nyumbani mwake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha wote wakaondoka na kwenda nyumbani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wote wakaondoka, kila mtu akaenda zake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wote wakaondoka, kila mtu akaenda nyumbani;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
[Kisha wakaondoka, kila mtu akarudi nyumbani kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakaondoka, kila mtu akarudi nyumbani kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wote wakaondoka, kila mtu akaenda nyumbani;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaenda zao kila mmoja nyumbani kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kila mumoja akarudi kwake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakaenda killa mtu nyumbani kwake: