John 7:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alisema hayo kisha akabaki huko Galilaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kusema hayo, akabaki Galilaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipokwisha kuwaambia hayo, alikaa vivi hivi huko Galilaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya Yesu kusema hayo, akabaki Galilaya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alisema hayo kisha akabaki huko Galilaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alisema hayo kisha akabaki huko Galilaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akiisha kusema hayo, akabaki Galilaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akiisha kusema hayo, akabaki Galilaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipokwisha kuwaambia hayo, alibaki huko Galilaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alisema hayo kisha akabaki huko Galilaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kuwaambia hivyo, akasalia Galilea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipokwisha kuwaambia hayo, alikaa vivi hivi huko Galilaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokwisha kuwaambia maneno hayo, akabaki Galilaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipokwisha kuwaambia haya, akakaa katika Galilaya.