John 8:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mnahukumu kwa fikira za kibinadamu, lakini mimi simhukumu mtu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi mnahukumu kwa kufuata vipimo vya kibinadamu; mimi simhukumu mtu yeyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninyi mwahukumu kwa kufuata mambo ya mwili; mimi simhukumu mtu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mnanihukumu kama watu wanavyowahukumu wengine. Mimi simhukumu mtu yeyote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninyi mnahukumu kwa fikira za kibinadamu, lakini mimi simhukumu mtu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mnahukumu kwa fikira za kibinadamu, lakini mimi simhukumu mtu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi mnahukumu kwa kufuata vipimo vya kibinadamu, mimi simhukumu mtu ye yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi mnahukumu kwa kufuata vipimo vya kibinadamu, mimi simhukumu mtu yeyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninyi mwahukumu kwa kufuata mambo ya mwili; mimi simhukumu mtu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mnahukumu kwa fikira za kibinadamu, lakini mimi simhukumu mtu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mwahukumu kimtu, mimi sihukumu mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninyi mwahukumu kwa kufuata mambo ya mwili; mimi simhukumu mtu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi munahukumu kwa kufuatana na mafikiri ya kimutu; lakini mimi simuhukumu mutu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ninyi mwahukumu kwa jinsi ya kiwiliwili; mimi simhukumu mtu.